Msaada wa kujua ada y PHd Open university,UDSM

clecla

JF-Expert Member
Dec 13, 2016
1,131
1,407
Kama kichwa kilivyo jieleza kwa wajuzi naomba kujua ada y PHd level kwa open university n UDSM
 
nakushauri yafuatayo,
mosi ingia kwenye website zao,usome usipofanikiwa ndio uulize
pili ada inategemea na aina ya kozi na wengine wanaenda mbali kwa kuchaji kwa unit
tatu,vyuo vingi sasa vina online prospectus tafadhali jaribu kupitia pia
mwisho,unasoma kwa thesis au dessertation?kwa mwanafunzi wa PhD nategemea ulipoweka nia ulianza kutafuta data za vyuo husika kabla ya kuuliza.
nakutakia masomo mema
 
Thnx indeed
 
Asante sana muuliza swali.
Nami nilitaka kuuliza swali kama hili, je ni chuo gani kizuri kwa kusomea PhD.

Nakumbuka kuna aliyewahi uliza chuo bora kwa kusoma Post graduate.
Wengi walikubal Open University kwa kuweka vigezo. Nilielewa sana na nimejionea.
Sijajua kuhusu PhD ya open.
Msaada tafadhari.
Nataka
 
Wanafunzi wa PhD kumbe baadhi wana uchizi pia sasa tutafundishwa na kina nani jamani elimu hii ya tz Padua kichwa eti unauliza ada jf poor you
 
Back
Top Bottom