Pia ilinisumbua lakini baadae nikaitoa, ukiweza kupata sms wakati unajiunga ina menu ya kubonyeza na kujitoa..Wakuu habari weekend? Mimi sio mtu wa mitandaoni na sidhani kama nafahamu vitu vingi kuhusu hayo malipo yanavofanyika Google...
Nielekeze vizur mkuuFuta hiyo kadi ya airtel Mastercard then hapo card haitokuwa active tena
Ubaya wa airtel ni kuwa Mastercard inauganishwa direct na account yako ya kawaida ya Airtel money
Ila vodacom ina afadhali unatenga hela za Mastercard zinakaa kwake na Hela za Mpesa zinakaa kwake
Nimefuta lkn wanasema nambq haiajaunganishwa na mastercard!! Sasa kama haijaunganishwa nani ana kata?Futa hiyo kadi ya airtel Mastercard then hapo card haitokuwa active tena
Ubaya wa airtel ni kuwa Mastercard inauganishwa direct na account yako ya kawaida ya Airtel money
Ila vodacom ina afadhali unatenga hela za Mastercard zinakaa kwake na Hela za Mpesa zinakaa kwake
Hapo tayari ushafuta kadiAirtel ni majambazi View attachment 2567042
Hapa airtell utawaonea bure tu engagement yako ni ya third part airtell ana facilitate tu hayo malipo deal na play storeWakuu habari weekend? Mimi sio mtu wa mitandaoni na sidhani kama nafahamu vitu vingi kuhusu hayo malipo yanavofanyika Google...
Na waonea bure ki vp? Wanatakiwa warudishe pesa au wazuie sasa wenyewe hata kunisaidia tu namna ya kufanya ila wanaleta ubabaishajiHapa airtell utawaonea bure tu engagement yako ni ya third part airtell ana facilitate tu hayo malipo deal na play store
@wilcoxon mkuu kama unafahamu njia ya kurudisha na pesa nisaidie pia hii waliochukua nairudisha vp?Fungua play store yako, halafu angalia kiduara kilicho pembeni ya alama ya kengele click then nenda kwenye payments and subscription, halafu unsubscribe
Hii ndio njia sahihi hata mimi nilifanya hiviFungua play store yako, halafu angalia kiduara kilicho pembeni ya alama ya kengele click then nenda kwenye payments and subscription, halafu unsubscribe
Futa kwanza huko mengine watakuja wajuzi@wilcoxon mkuu kama unafahamu njia ya kurudisha na pesa nisaidie pia hii waliochukua nairudisha vp?
Fuata hatua hizi.Airtel ni majambazi View attachment 2567042
Kuzuia ni jukumu lakowarudishe pesa au wazuie sasa wenyewe hata kunisaidia
Kama unataka kurudisha nenda hapo kwenye payments and subscription kisha uende kwenye budget & history then omba kurefund lakini hii itawezekana ndani ya masaa 48 toka makato yalipofanyika.@wilcoxon mkuu kama unafahamu njia ya kurudisha na pesa nisaidie pia hii waliochukua nairudisha vp?
Muamala haujafikisha hata masaa 24 ila ukienda hapo budget&history hakuna sehemu ya ku refund@wilcoxonKama unataka kurudisha nenda hapo kwenye payments and subscription kisha uende kwenye budget & history then omba kurefund lakini hii itawezekana ndani ya masaa 48 toka makato yalipofanyika.