Ushindi Daima
Member
- May 4, 2013
- 92
- 27
Kwa member yeyote yule anayeweza kunitumia soft copy ya Katiba ya CHADEMA naomba anifanyie hivyo.
Kuna mambo ya msingi ambayo napenda niyajue kuliko kuishi kwa kuyasikia tu toka kwa watu.
Nijue sifa zipi zinamfanya mtu awe Mjumbe wa Baraza Kuu.
Nijue sifa zipi zinamfanya mtu awe mjumbe wa Kamati Kuu.
Dira na mwelekeo wa Chama hasa shabaha iliyopo kwenye Katiba ya Chama.
#FyaItoloFyinunu