Msaada wa kuinstall kaspersky antivirus kwa cd

Msaada wa kuinstall kaspersky antivirus kwa cd

suley wa tz

Senior Member
Joined
Feb 14, 2017
Posts
116
Reaction score
139
Nmenunua package ya cd ya Kaspersky antivirus natumia window 7 ila kila nikiinstall inaishia kati na kuleta hii message
IMG_20190402_143345.jpg
IMG_20190402_142848.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nmenunua package ya cd ya Kaspersky antivirus natumia window 7 ila kila nikiinstall inaishia kati na kuleta hii messageView attachment 1061243View attachment 1061244

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna shida ya setup files hapo za kwenye cd, kwa urahisi zaidi, ingia internet then download hiyo Kaspersky kuendana na version iliyoko kwenye hiyo cd, hii itakusaidia hata kama umedownload ambayo ni trial lakini kwa kuwa unazo lisence key kwenye hiyo cd itakuwa rahisi zaidi kuiactivate kwenda full version.
 
Ingia www.filehippo.com, fuata category ya antivirus, download then hiyo Kaspersky then activate kwa kutumia keys za kwenye hiyo CD ya set.
You'll thank me later

Sent from my SM-J700F using Tapatalk
 
Back
Top Bottom