Msaada wa kuinstall ITV kwenye zuku

Msaada wa kuinstall ITV kwenye zuku

nkisumuno

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2012
Posts
208
Reaction score
72
Naomba msaada wa namna ya kuinstall itv kwenye zuku. Naomba kwa mwenye kujua aniwekee hapa hatua kwa hatua tafadhali.
 
Ulivyonunua king'amuzi cha Zuku walikuambia Luna ITV? Nijuacho king'amuzi cha Zuku hakina itv.
 
Menu>Installations>0000>Factory>Default>Ok>Exit>Exit.Bhaaaas umemaliza,ni kweli hivi sasa ITV inapatikana zuku channel number 29!
 
Uko maeneo gani nije kuunganisha mkuu jana 2 had ss nimewaunganishia watu kibao
 
Ila hyo njia mdau mmoja aliyoelekeza hapo juu si kwa dikoda zote
 
Mm natumia Azamtv. Je kuna uwezekano wa kuipata Emmanuel-Tv, hata kwa kuongeza Kadish Kengine Kadogo pembeni!????? Ila decoder iwe ni hiyo hiyo ya Azamtv.

Naomba kwa anayejua Maujanja kama kuna uwezekano huoo.

Thanks.
 
Naomba msaada wa namna ya kuinstall itv kwenye zuku. Naomba kwa mwenye kujua aniwekee hapa hatua kwa hatua tafadhali.



Press the Menu button on the remote control. The decoder MENU should display on the TV screen
Select installation and input the password 0000
Select Factory default and Press the OK button on the remote control
The scanning procedure will take place and will return back to the Menu.
Press the Exit button twice.
 
Back
Top Bottom