Wakuu Habari,
naomba munisaidie nawezaje kufungua "word document" iliyo na password (siijui password iliyowekwa), kama kuna software ya kufanya hilo naiomba.