Msaada wa kufungua Website

Bitabo

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2011
Posts
1,900
Reaction score
690
Wakuu ninafanya biashara ya kuuza madini na ningependa kutengeneza website ambayo itakuwa kama marketing tool locally and internationally.

Msaada wenu wakuu juu ya gharama na jinsi ya kufungua website. Napatikana DSM
 
unataka hayo madini mtu aweze kuorder online au unataka just mtu ajue unauza then akucontact
 
Unaonaje ukaanza na blog? au biashara yako ukaitangaza kwenye blogs?
 
Mkuu,
Nitakutengenezea mimi, madamu umeshaeleza kabisa itakuwa inahusu nini, basi gharama itakuwa hivi:
1. Kama content yaani maelezo na picha vyote ni vyako, gharama itakuwa laki 8.
2. Kama maelezo, picha, audio au video vyote nitavianza mimi, basi gharama itakuwa ni milioni 2 na nusu.
3. Ukitaka nitakufundisha ili uwe mwenyewe ndiye designer, gharama itakuwa laki 5.

mimi nimeshazitengeneza kadhaa, mojawapo ni hii HAPA.
 
Contact me and will do your job for just Tsh 250,000

That's complete designing, registering and 12 months hosting

Nipigie 0767659145, 0787659145
alphonce@alphonce.net

Wakuu ninafanya biashara ya kuuza madini na ningependa kutengeneza website ambayo itakuwa kama marketing tool locally and internationally.

Msaada wenu wakuu juu ya gharama na jinsi ya kufungua website. Napatikana DSM
 
Hi Bitabo,

Natumai wewe ni mzima. Mimi ninafikiri kabla hujatoa maamuzi ya kumlipa web designer yoyote, some report ya, "How To Own A Website That Sells: The Ultimate Guide"

Itakupa muongozo mzuri website yako iwe vipi na wewe unatakiwa kufanya nini ili uweze ku market biashara yako vizuri.
Kama una swali lolote usisite kuniuliza.

🙂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…