mtoto wa kibopa JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 5,362 Reaction score 6,481 Jan 30, 2017 #21 Excel said: mkuu, simu nyingine aina ya samsung s2 imefungwa, IMEI yake inaanza na 049. Je hii simu inaweza kuwa feki kweli mpaka kufungwa na TCRA au tatizo ni hio IMEI tu? naomba mwongozo Click to expand... Imea fake hiyo imei huaanza na 35.....
Excel said: mkuu, simu nyingine aina ya samsung s2 imefungwa, IMEI yake inaanza na 049. Je hii simu inaweza kuwa feki kweli mpaka kufungwa na TCRA au tatizo ni hio IMEI tu? naomba mwongozo Click to expand... Imea fake hiyo imei huaanza na 35.....
KijanaHuru JF-Expert Member Joined Jan 7, 2017 Posts 1,822 Reaction score 2,331 Jan 30, 2017 #22 martini enock said: Habari za Leo wana JF Naomba kusaidiwa kuifungua SIMU yangu aina ya Vodafone 200 Imeandika kwenye screen maandishi haya hapa chini SIM network unlock PUK Naomba msaada wenu wataalamu Natanguliza shukrani Mungu awabariki. Click to expand... Laini Yako Imejiblock Nenda Kairenew
martini enock said: Habari za Leo wana JF Naomba kusaidiwa kuifungua SIMU yangu aina ya Vodafone 200 Imeandika kwenye screen maandishi haya hapa chini SIM network unlock PUK Naomba msaada wenu wataalamu Natanguliza shukrani Mungu awabariki. Click to expand... Laini Yako Imejiblock Nenda Kairenew
shangwe1 JF-Expert Member Joined Jan 12, 2017 Posts 449 Reaction score 367 Jan 30, 2017 #23 Wasiliana na vodacom kupitia simu nyingine tatizo dogo hilo
martini enock JF-Expert Member Joined Jul 31, 2015 Posts 635 Reaction score 274 Jan 30, 2017 Thread starter #24 KijanaHuru said: Laini Yako Imejiblock Nenda Kairenew Click to expand... Nikiitoa line ndani ya SIMU nikaweka kwenye SIMU nyingine inapeta kama kawa
KijanaHuru said: Laini Yako Imejiblock Nenda Kairenew Click to expand... Nikiitoa line ndani ya SIMU nikaweka kwenye SIMU nyingine inapeta kama kawa
sumu-ya-panya JF-Expert Member Joined Aug 6, 2016 Posts 638 Reaction score 581 Jan 30, 2017 #25 khalfan56 said: he can do remotely pia chipset yake sio mpya sc7731 many tools can handle Click to expand... niko na tool za chip zote za android Moshi naunlock
khalfan56 said: he can do remotely pia chipset yake sio mpya sc7731 many tools can handle Click to expand... niko na tool za chip zote za android Moshi naunlock