martini enock
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 635
- 274
Uko wapi ???Habari za Leo wana JF
Naomba kusaidiwa kuifungua SIMU yangu aina ya Vodafone 200
Imeandika kwenye screen maandishi haya hapa chini
SIM network unlock PUK
Naomba msaada wenu wataalamu
Natanguliza shukrani
Mungu awabariki.
Niko Mwanza mkuuUko wapi ???
Nilidhani uko Dar,lakini poa hebu wacheki jamaa zangu hapo Town kichochoro cha karibu na stendi ya Tanganyika kuna mafundi simu wazuri tu.Niko Mwanza mkuu
Piga huduma kwa watejaHabari za Leo wana JF
Naomba kusaidiwa kuifungua SIMU yangu aina ya Vodafone 200
Imeandika kwenye screen maandishi haya hapa chini
SIM network unlock PUK
Naomba msaada wenu wataalamu
Natanguliza shukrani
Mungu awabariki.
Kwa swala la PUK wasiliana na vodacomHabari za Leo wana JF
Naomba kusaidiwa kuifungua SIMU yangu aina ya Vodafone 200
Imeandika kwenye screen maandishi haya hapa chini
SIM network unlock PUK
Naomba msaada wenu wataalamu
Natanguliza shukrani
Mungu awabariki.
mkuu, simu nyingine aina ya samsung s2 imefungwa, IMEI yake inaanza na 049. Je hii simu inaweza kuwa feki kweli mpaka kufungwa na TCRA au tatizo ni hio IMEI tu? naomba mwongozoNilidhani uko Dar,lakini poa hebu wacheki jamaa zangu hapo Town kichochoro cha karibu na stendi ya Tanganyika kuna mafundi simu wazuri tu.
Hiyo inatengenezeka hapo tatizo imei ime corrupt lakini umedandia thread ya mtu mwinginemkuu, simu nyingine aina ya samsung s2 imefungwa, IMEI yake inaanza na 049. Je hii simu inaweza kuwa feki kweli mpaka kufungwa na TCRA au tatizo ni hio IMEI tu? naomba mwongozo
Hahahahaa! Asante sana mkuu, niombe radhi kwa kudandia thread kwa mkuu martini enockHiyo inatengenezeka hapo tatizo imei ime corrupt lakini umedandia thread ya mtu mwingine
Hiyo utengenezaji wake lazima uwe na tools una rebuild imei unarudisha imei ambayo iko chini ya betri usiweke tofauti na hiyo ya chini ya betri nikosa kisheria siyo kila findi anaweza solve hilo tatizoHahahahaa! Asante sana mkuu, niombe radhi kwa kudandia thread kwa mkuu martini enock
Naomba msaada zaidi namna ya kuitengeneza hio IMEI mkuu
Hiyo utengenezaji wake lazima uwe na tools una rebuild imei unarudisha imei ambayo iko chini ya betri usiweke tofauti na hiyo ya chini ya betri nikosa kisheria siyo kila findi anaweza solve hilo tatizo
wewe! ukiondoa betri hapo kwenye simu ndiyo kuna imei za hiyo simu haziwekwi kwenye betri banamkuu betri ilishabadilishwa zaidi ya mara 5 maana hii imenunuliwa kutoka mkono mwingine sio moja kwa moja dukani...
Naomba maoni zaidi!
haha!wewe! ukiondoa betri hapo kwenye simu ndiyo kuna imei za hiyo simu haziwekwi kwenye betri bana
Mgumu sana kuelewa soma vizuri maelezo yanguhaha!
sawa mkuu nimekuelewa sana.
Naomba nichukue hatua. Ila sasa shida inakuja, TCRA imeshaibana hii simu. Itakuwaje hapa sasa?
hiyo cpu yake SPEADRUM wengi hawana tool yakemtafute Mwl.RCT akupe network unblock key
he can do remotely pia chipset yake sio mpya sc7731 many tools can handlehiyo cpu yake SPEADRUM wengi hawana tool yake
Tuma neno PUK 07...(namba yako ya simu) kwenda 123Habari za Leo wana JF
Naomba kusaidiwa kuifungua SIMU yangu aina ya Vodafone 200
Imeandika kwenye screen maandishi haya hapa chini
SIM network unlock PUK
Naomba msaada wenu wataalamu
Natanguliza shukrani
Mungu awabariki.