kama una software za kutengenezea rar kama winrar kwenye pc yako fanya hivi! right click kwenye hilo file then choose option ya ku extract files! normally ukikubali hatua znazofata kwa ku click next file la software utakuta kwenye desktop!
ukiona file yoyote ambyo imeandikwa .rar or .zip it means kwamba ndani yake kuna files kadhaa ambazo zimekuwa compressed ili kusave space na kurahisha usafirishaji wake. So ili kuweza kuzifungua inabidi uinstall software ya winzip or winrar then right click kwenye file unalotaka kulifungua then go winzip or winrar then click on extract here.