Mkuu tatizo lako nikama langu... wakijibu unitag.Salaam
Nilinunua Iphone 6 cha mkononi, yumkini niliweka Icloud na bahati mbaya simu ikakorofisha, kuoeleka kwa fundi akaifrimat na ikaanza kuniuliza nywila ya Icloud
Nimehangaika hadi kwa aliyeniuzia lakini imeshindwa kufungua ni ninayi kama UREMBO TU
Tafadhali mwenye ushauri wa jinsi ya kuifungua ama ambaye ameoitia uzoefu huu anisaidie
shukrani sana
Salaam

358811050566833NAOMBA IMEI NAMBA YAKE ANDIKA HUMU ILI NIKUELEKEZE
NAOMBA IMEI NAMBA YAKE ANDIKA HUMU ILI NIKUELEKEZE
Kwa icloud nitakubali ila kwa android ni rahisi. Unaiflash frp inatokaHaiwezi kutoka mpaka nwenye simu aweke password.
Kabla ya kununua simu yoyote second hand kumbuka kufanya reset/format mbele ya mwuzaji iCloud haitoki na baadhi ya simu za Android zina feature kama hiyo ambayo haitoki.
Upo mkoa gani? Km upo dar nitafute nipambane nayo. Iphone toleo lipi 4,5,6+?Mkuu tatizo lako nikama langu... wakijibu unitag.
aiseeMafundi wengi wa iphone sio waaminifu!Wanachofanya ukipeleka simu yako wanakagua sacket kama iko locked na icloud,ikiwa icloud free,wanabadilisha wanaweka iliyokuwa locked ili ukafe naye nao au kukamatwa halafu wao wanachukua iliyokuwa icloud free wanauza!Hayo yanatokea saana pale Aggrey kariakoo wazee wa simu za deal