msaada wa kufungua facebook kwenye laptop

Broker...

Member
Joined
Jan 31, 2012
Posts
38
Reaction score
13
wandugu naomba kwa anayeweza kunisaidia niweze kufungua account yangu ya facebook kwenye laptop maana tokea juzi niki log in haionyeshi picha zozote wala messages lakini nakuwa naonekana online,,na page yenyewe ipo tofauti na jinsi page ya facebook inavyofungukaga kawaida.Nitashukuru sana kwa msaaada wa anayeweza kunisaidia.
 
Angalia usije ukawa unatumia phishing site. Unatumia browser gani? jaribu kutumia browser tofauti na unayotumia sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…