Msaada wa kuflash HTC DESIRE 820 dual sim

Msaada wa kuflash HTC DESIRE 820 dual sim

izzo

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2015
Posts
2,812
Reaction score
6,461
Wakuu nina HTC yangu wakati naifanyia factory reset ilikuwa imeingia virus kwa bahati mbaya ikajifuta OS so nikijaribu ku reboot inaniandikia No OS Installed! Are you sure you wish to reboot? sasa nilikuwa naomba msaada kwa yeyote mwenye uwezo wa kuiflash mimi nipo Dar
 
Attachments

  • is.jpg
    is.jpg
    9.5 KB · Views: 176
Same problem here.....but its Huawei y330 u11....any body with solutions on this please!!!
 
wakuu nina HTC yangu wakati naifanyia factory reset ilikuwa imeingia virus kwa bahati mbaya ikajifuta OS so nikijaribu ku reboot inaniandikia No OS Installed! Are you sure you wish to reboot? sasa nilikuwa naomba msaada kwa yeyote mwenye uwezo wa kuiflash mimi nipo dar
Sorry hiyo htc ni original au ni zile za mediatek.. Kama ni original naweza kuiflash bila wasi mkuu.. Kama ni mediatek itaniwia vigumu kwa sababu kuflashi kwake ntatakiwa niwe na simu kamahiyo ili ni extract os au rom file then niingize kwa simu hiyo.. Kisauti matelephone tanga 0715866429
 
mkuu cjajua kama ni OG au mediatek je upo tanga au dar nikuletee uiangalie mkuu
 
Sorry hiyo htc ni original au ni zile za mediatek.. Kama ni original naweza kuiflash bila wasi mkuu.. Kama ni mediatek itaniwia vigumu kwa sababu kuflashi kwake ntatakiwa niwe na simu kamahiyo ili ni extract os au rom file then niingize kwa simu hiyo.. Kisauti matelephone tanga 0715866429

mkuu tusaidie hapo. utajuaje kama ni original au fake
 
mkuu tusaidie hapo. utajuaje kama ni original au fake
Kama simu inawaka ni rahisi kujua.. Inachotakiwa ni kudawnload app ya cpu z au cpu identifier.. Inshort kwa htc ukaona inasoma cpu ni mediatek basi ujue ni clone copy feki.. Sasa simu haiwaki yaani haiboot kuingia kwenye os kama ya jamaa ntabidi nitumie macho.. Ktk macho ntaangalia texture yake yaani buildin wuality.. Simu zengine wajanja wanatoa copy imara so inabidi uwe mjanja
 
Back
Top Bottom