kinjumbi one JF-Expert Member Joined May 27, 2015 Posts 1,696 Reaction score 2,159 Jul 1, 2020 #1 Habari, Naomba msaa wa kujuzwa ilipo Shule Makongoro Secondary school najua ipo mkoa wa mara lakini sijui Wilaya gani? Na nafikaje? Natanguliza Shukrani sana.
Habari, Naomba msaa wa kujuzwa ilipo Shule Makongoro Secondary school najua ipo mkoa wa mara lakini sijui Wilaya gani? Na nafikaje? Natanguliza Shukrani sana.
Cunch Senior Member Joined Apr 19, 2014 Posts 162 Reaction score 142 Jul 1, 2020 #2 Mimi naifahamu Shule ya sekondari makorongo ipo dodoma wilaya ya chemba kwa wasandawe hiyo ya mara ndo naisikia kwako..
Mimi naifahamu Shule ya sekondari makorongo ipo dodoma wilaya ya chemba kwa wasandawe hiyo ya mara ndo naisikia kwako..