Kidume cha mbegu
JF-Expert Member
- Jun 14, 2015
- 1,251
- 710
Panda la hadi simu 2000 then uende ofisi za TCRA pembeni yake ndio chuo kipoHabari,
Niko gongolamboto mwisho wa lami ila nataka kufika law school je nipande gari gani? Mwenye kujuwa please anijuze
Mkuu, Law School iko nyuma tu ya Stendi uliyoitaja. Ni kitendo cha kuzunguka tu mashariki halafu kaskazini hadi geti la Law School.Panda la hadi simu 2000 then uende ofisi za TCRA pembeni yake ndio chuo kipo
True mkuu...Mkuu, Law School iko nyuma tu ya Stendi uliyoitaja. Ni kitendo cha kuzunguka tu mashariki halafu kaskazini hadi geti la Law School.
Pamoja kaka!True mkuu...
ile ya TCRA atazunguka ee..nlkuwa sijui njia ya upande mwingine ile...ThanksPamoja kaka!
Panda gari za mawaliano (Simu2000) shuka kituo cha mwisho.Utayaona tu majengo ukifika MawasilianoHabari,
Niko gongolamboto mwisho wa lami ila nataka kufika law school je nipande gari gani? Mwenye kujuwa please anijuze
Akienda TCRA nadhani pale kuna uzio Bora azunguke kulekule kituo cha daladalaPanda la hadi simu 2000 then uende ofisi za TCRA pembeni yake ndio chuo kipo
Kabisa mkuuAkienda TCRA nadhani pale kuna uzio Bora azunguke kulekule kituo cha daladala
Asante sana mkuuPanda magari ya SIMU2000 a.k.a MAWASILIANO...
Ukishuka kituoni toka nje ya kituo kisha kunja kushoto, fuata hiyo barabara mpaka ufike mahali inakunja kulia (zinapita daladala) na nyingine kushoto... Fuata ile ya kushoto tembea nayo weeeee mpaka utaliona geti la TLS upande wako wa kushoto...
Yaani FULL MASHOTO mpaka unafika.....
Mapendo.
Panda gari za mawaliano (Simu2000) shuka kituo cha mwisho.Utayaona tu majengo ukifika Mawasiliano