Msaada wa kufika kanisa la mlima wa moto

Msaada wa kufika kanisa la mlima wa moto

ema mponzi

Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
5
Reaction score
1
Habari wana jf msaada kwa wanaojua mahali lilipo kanisa la mlima wa moto lililopo chini ya mchungaji getruda rwakatare nasikia liko mikocheni B lakini sijawahi kufika msaada kwa anayejua
 
Kwanini usiishie hapo mwenge roundabout kwa nabii mwamposya ndo anayehit mjini sahivi, lwakatare anasubiri sana kwa huyo jamaa..
 
Back
Top Bottom