Msaada wa kufika Goma (Congo DRC)

Msaada wa kufika Goma (Congo DRC)

MzungukoMnangani

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2012
Posts
303
Reaction score
82
Poleni na majukumu wakuu,

Wiki ijayo natarajia kwenda Goma (Congo DRC) kwa ajili ya kwenda kujionea fursa za kibiashara ivyo basi naomba msaada wenu wa wapi ntapata bus za kufika huko na njia salama ni ipi?

Angalizo: Mimi nipo Mwanza kwa sasa.
 
Tafuta usafiri wa kwenda kigali, Rwanda. Ukifika hapo kuna magari mengi yanayoenda Goma. Ni mwendo wa saa kama 3. Ila unatakiwa uwe na pasi ya kusafiria na pesa
 
barabara risk! Nenda Entebbe airport chukua ndege ndogo MAF elekea Bunia, then chukua kingine wahi Goma.Survey njema.
 
Kama UkoMwanza Panda Gar Za Kwend Biharamulo Kuna Zuber Then Ukifka Hpo Pand Kwnda Rusum Boda Ya Tz Na Kigal N Kama Elf 8 Ktka B,muro To Rusumo Afu Rusumo Pale Utapta Gar Za Kigal Ama Hzi IT ZA KONGO then utaenda had rwanda ama DRC Na hop utakuwa GOMA ama fika rwanda panda magar ya kwenda goma, NB: hapo boda unaweza pata gar ya goma moja kwa moja kwa bei rahis ,kumbuka kuwa na paspot na n bor kuwa na hudma ya visa ama mastr card kuepusha kutembea na hela hayo maeneo sio mazur ukishindwa panda friend mwanza kampala chukua ndege to goma, safar njema ,kumbuka kutupa mrejesho
 
Back
Top Bottom