Msaada wa kufanya Installation ARCGIS Version 9

Msaada wa kufanya Installation ARCGIS Version 9

mfukoz

Member
Joined
Aug 11, 2011
Posts
35
Reaction score
4
Hello wajf nilikuwa naomba msaada katika hili ninapofanya installation ya ARC GIS kwenye laptop yangu ambayo ina window ya (WINDOW 7 ULTIMATE) installation inafika sehemu inagoma sasa sijajua ni wapi ila kwenye Desktop Adiministrator inanitaka nifanye setting katika haya:
SOFWARE PRODUCT-IWE ArcInfo
LICENSE MANAGER-use Localhost
AVAILABILITY-ArcInfodesktop(floating)
Lakini ninaporun ARCGIS baada ya installation inakataa na nikama inataka nifanye setting ya HostName na License Path
Kwahiyo wanajf nilikuwa nahitaji msaada wenu ni nini cha kufanya hapa nawakilisha.
 
Sijui hiyo application vizuri lakini tafuta manual na documnetation zake hasa za installtion utapata guide nzuri tu mfano nimegoogle chap chap nmekutana na kitu kama hiki Installing ArcGIS 9.3 On Microsoft Windows 7

Otherwise Andika a specific error unayopata ukiwa unaistall. ilitukusaidie kugoogle maana unavyoandika
.....Lakini ninaporun ARCGIS baada ya installation inakataa na nikama inataka nifanye setting ya HostName na License Path
Troubleshooter aliye mbali na ambaye hajawai kutumia hiyo application atatumia muda mrefu kukusaidia.. So andika hapa sepcific error message tukusaidie ku google na kukupa ushauri . Otherwise just google hiyo specific error unayopata

good luck
 
Back
Top Bottom