Msaada wa kufanya factor reset kwenye sony experia

Msaada wa kufanya factor reset kwenye sony experia

selebob

Member
Joined
Jul 7, 2015
Posts
26
Reaction score
6
Msaada wa kufanya factor reset kwenye sony experia. maana jamaa wangu kasahau password zake
 
Hapo sio factory reset tena.....inatakiwa hard reset
 
Msaada wa kufanya factor reset kwenye sony experia. maana jamaa wangu kasahau password zake

Bonyeza kwa kushikiria power button at the same time shikilia lower/upper volume button
 
Bonyeza kwa kushikiria power button at the same time shikilia lower/upper volume button

Sidhani kama hiyo njia atafanikiwa, lakni kama simu ni sony original tafuta program ya sony companion lazima uwe na kompyuta, tafuta jinsi ya ku-reset kwa kutumia sony companion kulingana na simu yako.
 
Kumbe sony experia!!! Labda kama kuna toleo jipya unaloweza kureset kwa button. Sony companion lazima ihusike hapo.
yaaah hapo ni sony companion au sony flashing tool.
Mie nilijaribu hiyo ya button mpaka nimechoka.
Companion/flashing tool pia kwangu zimedunda maana ipo locked bootloader.
Kama kuna mwenye ufumbuzi anisaidie maana nimefuata process zote kuondoa bootloader il nakwama kuanzish comand kwenye Android SDK Studio 1.5
 
Kwa nini akucheck chamber kama una utaalamu si uweke hapa au unataka aje chamber ukamdanganye
 
Back
Top Bottom