Ada ni laki moja na sitini kwa mwaka zikiwemo na uniform humo humo.
yaani suruali 2 na tshirt 2.
hiyo ni kwa bording.
ila kupata nafasi mkuu; ni kwa NEEMA.
kwani wanaoomba ni wengi na wooote wana vigezo.
mashine zinachagua.
hakuna cha mtoto wa mjomba.
mwaka wa pili wanatoa laki na thelathini na nne.