izime
then washa tena. haraka sana bonyeza button mbili kwa pamoja. button ya kuwashaia iache. bila kuachia bofya volume up button, sambamba home button au kijumba, utaona picha nyumba(subiri na usiachie hizo button) kusha yatakuja maneno, tafuta maneno haya erase, delete, au clean au format scrollbar mpaka kweny mstari wenye maneno husika, bofya key button ya kuzima na kuwasha, safar hii key hii inatumika kama ok button