Lovery
JF-Expert Member
- Aug 15, 2014
- 1,551
- 3,195
Habari zenu wakuu. Tafadhali naomba kupata maelekezo juu ya jambo hili.
Nipo morogoro mjini, nahitaji kusafiri wiki ijayo kwa kutumia pikipiki hadi masasi mtwara.
Lengo langu hasa ni kukwepa kupita jijini dar es salaam maana kuna adha kubwa sana ya msongamano.
Je kuna barabara tofauti ya kuchepuka kabla ya kufika maili moja/kibaha ambayo itatokea barabara ya mtwara?
Asanteni