Misunderstood
JF-Expert Member
- Aug 4, 2020
- 393
- 896
Sign in kweny account yako kweny web browser kisha change location yako weka French..baada ya Hapo sasa washa vpn yako chagua location french kisha kua connected huko then kafungue app yako sasa ya Spotify.
Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
Account yako ya Spotify mkuuSamahani, account gani unayoongelea ni sign in? Google account au[emoji2304]
Tumia Apple music tu bro au DeezerHabari wataalamu wa teknolojia!
Jamani nimedownloa VPN PROXYMASTER ili niweze kudownload app ya Spotify kwasababu huku nchini kwetu hatuwezi kudownload sasa nikiingia Appstore naambiwa....View attachment 1612915
Naombeni msaada wa namna yoyote naweza download Spotify.
Ungekuwa unatumia android ungedownload apk yake google ..
Sema kwanini usidownload deezer au apple music ambao wameona wabongo wale ngoma watakavyo,sio hao waswidishi(spotify) wanaotubagua
Tumia Apple music tu bro au Deezer
Hiyo deezer si kama audiomack tu?
Nataka Spotify maana ina exclusize music[emoji26]! Au hiyo deezer iko poa zaidi? Na applemusic kusikiliza music online si mpaka ulipie?
Deezee sio kma audiomack. Unapita nyimbo zote. Ahat hyo Spotify unayotaka kudownload unalipia. Ila Apple music kwa sasa wana 3 months free trialHiyo deezer si kama audiomack tu?
Nataka Spotify maana ina exclusize music[emoji26]! Au hiyo deezer iko poa zaidi? Na applemusic kusikiliza music online si mpaka ulipie?
Deezee sio kma audiomack. Unapita nyimbo zote. Ahat hyo Spotify unayotaka kudownload unalipia. Ila Apple music kwa sasa wana 3 months free trial
Aliyekuambia spotify ni bure ni nani?..Hiyo deezer si kama audiomack tu?
Nataka Spotify maana ina exclusize music[emoji26]! Au hiyo deezer iko poa zaidi? Na applemusic kusikiliza music online si mpaka ulipie?
Mkuu spotify iko poa sana
Naweza sema kuliko hizo app nyingine za music ni mtazamo wangu lakini
Jinsi ya kudownload ingia kwenye setting za apple id yako
change country i guess ume-set Tanzania weka hata USA
Then save
Rudi kwenye appstore uta-download fresh
Huko mbele utaendelea na vpn baada ya app kuingia.