Wernery G Kapinga
JF-Expert Member
- Feb 2, 2012
- 381
- 131
Mdau.. Ubarikiwe sanaFahamu jinsi ya kuinstall mods kwenye Euro trucks simulator 2 - JamiiForums
Pita kweny huo uzi kuna link na mods zote
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana DKNenda OCEAN OF GAMES utapata game zote ukkosa apo nenda OLD GAMES ukikosa apo cheza na Torrent apo naamini uwezi kukosa Mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwekezaji mpya wa biashara ya usafirishaji😀😀
mdau mpya huyu mkuu
Mwekezaji mpya wa biashara ya usafirishaji[emoji3][emoji3]
Ngoja apakue mzgo kwanza..mana map ni nying sana[emoji2]Family tumepata new member, mwambie apitilize hadi Puno..[emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu hii game yenyewe kama yenyewe bila mods ina wastan kama maps ngapi?
mkuu hii game yenyewe kama yenyewe bila mods ina wastan kama maps ngapi?
Family tumepata new member, mwambie apitilize hadi Puno..[emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukifanikiwa nijuze umepakua wapi nami nikalipakue Au KAMA KUNA MWENYE SETUP NAOMBA ANISAIDIE NIPO DSMHabarini wataalam. Nina desktop yangu. Nataka KUDOWNLOAD game ya EURO TRUCK SIMULATIOR.
Tafadhali mnisaidie link ambayo nikidownload nipate hiyo game free from charge. Specifications za computer yangu ni;
Processor 3.30ghz
Ram 4gb
Hdd 464.
Asanteni sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
ina wastani wa map moja tu inayo jumuisha nch nying za bara moja la europmkuu hii game yenyewe kama yenyewe bila mods ina wastan kama maps ngapi?
uko sawa ila kila mmja na ulevi wakeNilivomaliza form four nikaacha kucheza magame ya kitoto
Najua ni nje ya mada lakini umeicheki avatar yangu mkuu?
Okay sasa hapo kwenye nchi zipo kama ngapi maana wengine hatupendi mods ila tunapenda barabara ziwe nyingi?!ina wastani wa map moja tu inayo jumuisha nch nying za bara moja la europ
NCH NI NYING BROO. YAANI ZOOTE ZINAZOUNDA BARA LA ULAYA . NA KUHUSU BARABARA NI ZA RAMI NA WENGINE KAMA MIMI NDO HATUZIPENDIOkay sasa hapo kwenye nchi zipo kama ngapi maana wengine hatupendi mods ila tunapenda barabara ziwe nyingi?!