Mbona huyu kama wewe [emoji2](jokes)Huyu je, anaweza akapata Agribusiness SUA au BBA SAUT?
Economics.....D
Geography......D
Advanced Mathematics.....F
Mbona huyu kama wewe [emoji2](jokes)
Aombe tu mkuu asiogope lakini asiache kuijaza education kama ana ndoto za degree.
ndo shida ya vijana wetu, mtu yuko tayari akasome madude yasiyoeleweka ambayo hata kujiajiri ni kasheshe.. Eti ili mradi tu aondokane na maneno ya mtaani ya kumkashshfu mwalimu, wakati sasa hivi mambo ni kinyume.Tatizo vijana wengi siku hizi wamelishwa sumu kuwa education ni fani isiyo na hadhi wakati ndiyo ina uhakika wa ajira
Wana jamvi naomba msaada wenu kujua ni kozi gani na chuo gani kinaweza kumfaa mdogo wangu ambaye amemaliza form six mwaka huu na kupata alama zifuatazo.
1:Chemistry..........C
2:Biology..................D
3:Geography......D
4:Bam...........................D
Ana div 11.
Naomba kujua je ni kozi gani anaweza kuomba na ni kupitia chuo kipi?
Tafadhali jamani kuuliza siyo ujinga naomba mnisaidie mwenzenu.
Huyu je, anaweza akapata Agribusiness SUA au BBA SAUT?
Economics.....D
Geography......D
Advanced Mathematics.....F
ndo shida ya vijana wetu, mtu yuko tayari akasome madude yasiyoeleweka ambayo hata kujiajiri ni kasheshe.. Eti ili mradi tu aondokane na maneno ya mtaani ya kumkashshfu mwalimu, wakati sasa hivi mambo ni kinyume.