dranx Senior Member Joined Dec 31, 2018 Posts 190 Reaction score 84 Jan 28, 2020 #1 Habari zenu wadau. Kwa wale wazoefu wa online payment naombeni msaada bank gani ni nzuri kufungua Visa card ili kufanya malipo online?
Habari zenu wadau. Kwa wale wazoefu wa online payment naombeni msaada bank gani ni nzuri kufungua Visa card ili kufanya malipo online?
Mwl.RCT Platinum Member Joined Apr 5, 2009 Posts 15,600 Reaction score 22,342 Jan 28, 2020 #2 dranx said: online payment naombeni msaada bank gani ni nzuri kufungua Visa card Click to expand... Bank yeyote ambayo ni international itafaa na itakidhi mahitaji
dranx said: online payment naombeni msaada bank gani ni nzuri kufungua Visa card Click to expand... Bank yeyote ambayo ni international itafaa na itakidhi mahitaji
Mwifwa JF-Expert Member Joined Apr 3, 2017 Posts 48,723 Reaction score 126,577 Jan 28, 2020 #3 Mwl.RCT said: Bank yeyote ambayo ni international itafaa na itakidhi mahitaji Click to expand... Ungeorodhesha hata 2 au 3 ingependeza zaidi mkuu..
Mwl.RCT said: Bank yeyote ambayo ni international itafaa na itakidhi mahitaji Click to expand... Ungeorodhesha hata 2 au 3 ingependeza zaidi mkuu..
dranx Senior Member Joined Dec 31, 2018 Posts 190 Reaction score 84 Jan 28, 2020 Thread starter #4 Mwifwa said: Ungeorodhesha hata 2 au 3 ingependeza zaidi mkuu.. Click to expand... πππ
Mwl.RCT Platinum Member Joined Apr 5, 2009 Posts 15,600 Reaction score 22,342 Jan 28, 2020 #5 Mwifwa said: Ungeorodhesha hata 2 au 3 ingependeza zaidi mkuu.. Click to expand... dranx said: πππ Click to expand... Equity Exim FNB Barclays Standard C BancABC
Mwifwa said: Ungeorodhesha hata 2 au 3 ingependeza zaidi mkuu.. Click to expand... dranx said: πππ Click to expand... Equity Exim FNB Barclays Standard C BancABC
dranx Senior Member Joined Dec 31, 2018 Posts 190 Reaction score 84 Jan 28, 2020 Thread starter #6 Mwl.RCT said: Equity Exim FNB Barclays Standard C BancABC Click to expand... Ngoja nitumie FNB SHUKRANI SANA KAKA
Mwl.RCT said: Equity Exim FNB Barclays Standard C BancABC Click to expand... Ngoja nitumie FNB SHUKRANI SANA KAKA
Mwifwa JF-Expert Member Joined Apr 3, 2017 Posts 48,723 Reaction score 126,577 Jan 28, 2020 #7 Mwl.RCT said: Equity Exim FNB Barclays Standard C BancABC Click to expand... Ahsante sana mkuu
heartbeats JF-Expert Member Joined Feb 10, 2014 Posts 8,019 Reaction score 13,271 Jan 28, 2020 #8 Equity ndo nzuri maana unaweza hamisha pesa to skrill chap na ni master card pia,skrill ndo njia ya chap kama unafanya miamala na ayo malipo wanaruhusu kupokea kwa skril au paypal. Sent using Jamii Forums mobile app
Equity ndo nzuri maana unaweza hamisha pesa to skrill chap na ni master card pia,skrill ndo njia ya chap kama unafanya miamala na ayo malipo wanaruhusu kupokea kwa skril au paypal. Sent using Jamii Forums mobile app