Ushauri tu. Ustawi hostel ni chache, wengi wanachofanya ni kupanga nyumba mtaaani, hivyo tafuta mwenzako muwe wa2 au hata zaidi mkapange mtaani. Madalali wapo.
Mimi ni mdada nimepata chuo hapo ustawi.
Xaxa natafuta mdada au mwenyeji hapo dsm.
Nimeshindwa kulipia hosteli ila pesa ya kula haitanipiga chenga.
Nashukuru!
Ambaye anaweza kunibeba ni lazima awe mdada. (Wakaka am xorry)
Natokea Arusha.
So pm me nitakupa my namba.
Ushauri tu. Ustawi hostel ni chache, wengi wanachofanya ni kupanga nyumba mtaaani, hivyo tafuta mwenzako muwe wa2 au hata zaidi mkapange mtaani. Madalali wapo.