lyakurwaD Member Joined Jan 10, 2017 Posts 50 Reaction score 39 Feb 7, 2017 #1 Natanguliza shukran zangu tafadhal wadau wa jukwaa hili naomben maelekezo jinsi ya kubadili au kurekebisha jina ninalotumia kweny google Mfano natumia mandelaputin@gmail.com Nataka nibadili iwe mandelanjau@gmail.com Kwa wale wenye uelewa kuhusu hili tafadhal msaada wenu Naomba kuwasilisha
Natanguliza shukran zangu tafadhal wadau wa jukwaa hili naomben maelekezo jinsi ya kubadili au kurekebisha jina ninalotumia kweny google Mfano natumia mandelaputin@gmail.com Nataka nibadili iwe mandelanjau@gmail.com Kwa wale wenye uelewa kuhusu hili tafadhal msaada wenu Naomba kuwasilisha
Raphael gadau JF-Expert Member Joined Jan 17, 2017 Posts 1,007 Reaction score 306 Feb 7, 2017 #2 ingia google+ utaiona edit
lyakurwaD Member Joined Jan 10, 2017 Posts 50 Reaction score 39 Feb 7, 2017 Thread starter #3 Raphael gadau said: ingia google+ utaiona edit Click to expand... Nimeingia lakin sijaiona mkuu maana nahitaji kubadili na jina naomba unielekeze vzr mkuu
Raphael gadau said: ingia google+ utaiona edit Click to expand... Nimeingia lakin sijaiona mkuu maana nahitaji kubadili na jina naomba unielekeze vzr mkuu
Kang JF-Expert Member Joined Jun 24, 2008 Posts 5,692 Reaction score 2,576 Feb 7, 2017 #4 Haiwezekani unachotaka kufanya, itabidi ufungue email nyingine yenye hilo jina jipya.
lyakurwaD Member Joined Jan 10, 2017 Posts 50 Reaction score 39 Feb 7, 2017 Thread starter #5 Kang said: Haiwezekani unachotaka kufanya, itabidi ufungue email nyingine yenye hilo jina jipya. Click to expand... Poa mkuu ila ntapoteza vitu vingi au ntaweza kuamisha picha zangu zilizomo??
Kang said: Haiwezekani unachotaka kufanya, itabidi ufungue email nyingine yenye hilo jina jipya. Click to expand... Poa mkuu ila ntapoteza vitu vingi au ntaweza kuamisha picha zangu zilizomo??
muvika online JF-Expert Member Joined Nov 27, 2016 Posts 374 Reaction score 283 Feb 7, 2017 #6 hiyo haiwezekani cha kufanya fungua nyingine
white hat JF-Expert Member Joined Dec 16, 2016 Posts 3,320 Reaction score 2,488 Feb 8, 2017 #7 lyakurwaD said: Poa mkuu ila ntapoteza vitu vingi au ntaweza kuamisha picha zangu zilizomo?? Click to expand... Fanya kujitumia kwenye hiyo email mpya kama hautaki kuwa Nazo mbili
lyakurwaD said: Poa mkuu ila ntapoteza vitu vingi au ntaweza kuamisha picha zangu zilizomo?? Click to expand... Fanya kujitumia kwenye hiyo email mpya kama hautaki kuwa Nazo mbili