Unahitajika kutumia daraja D kwa muda wa usiopungua miaka mitatu , baada ya hapo utaenda kusomea tena course fupi upate daraja E. Utadumu na daraja E tena kwa muda usiopungua miaka 3. Ndio uwe na sifa za kwenda Veta au NIT tu kupata mafunzo ya daraja C.