Subiri wakukutia moyo watakuja mkuu. Mimi pia nna wazo Kama lakwakoduh mbona mapema unaanza kunivunja maini
Umenena vyema. Tuishi humuWanakukatisha tamaa hao wachangiaji wwanzo
Usipokuwa na haraka hukosi buku 3 kwa siku.
Kwa anaetaka utajiri haimfai, lakin mnyonge utapata hela
kukaa mwenyewe itakuwa ngumubiashara pasua kichwa, hii ni nzuri kama upo mwenyewe golini.
. Uko mbali sana ningekupa mawazodar temeke
. Hamna hata kinachoshindikanamawazo mpk tuonane live au
kwa njia ya simu inashindikana