Mkuu kuna app moja inaitwa mobdro ni nzuri ina channels nyingi sana za sports ikiwemo skysports 1-5 etc. Ukiweza kuidownload hiyo ni kifurushi chako tu...ina global prominent TV stations karibu zote isipokuwa sijaona local hata moja ila za Kenya kuna mbili citizens na k24 kama sikosei
Naomba msaada wakui niweze kuangalia mashindano haya uefa euro 2016 kwenye tablet/pc. Kama ya jana,Wales vs Portugal nilitoka kapa. Nimejaribu hayo maujanja hapo huu,bado