habar ndugu zangu,nataka kuagiza simu ktk web tajwa apo juu,mimi nipo bukoba na nilijarbu kupitia ktk sehemu izo nikakuta simuu bei nafuu sana mfano samsung galaxy note2 usd$210 sasa sijui hadi kunifikia inaweza gharimu kias gani,.pia sina uelewa wowote wa kuagiza simu kutoka nchi za nje sijui naanzia wapi na naishia wapi na bank natakiwa kutumia ipi?? Mimi acount yangu ni crdb master card je inafaa?? Na vp proces za kuwasiliana na hao wauzaji mpaka kutuma pesa na wao kunitumia simu? Je nikituma pesa wasipo nijibu/ kunitumia simu natakiwa kufuata taratibu zipi ili kurudishiwa pesa zangu?? Nawakilisha kwenu na kwa anaeelewa anijuze apa ili iwe faida na kwa wengine ambao hawajui