Msaada wa kuagiza gari Japan

Msaada wa kuagiza gari Japan

BRO SANTANA

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2015
Posts
1,845
Reaction score
2,249
Habari zenu wakuu.

Nimepitia beforward mtandaoni nimeipenda NOAH ambayo ni USD 700.

Naomba msaada wa kujua gharama mpaka naliweka ndani hilo gari ni Tsh ngapi?

Shukrani natanguliza.
 
select destination country ili upate c i f au c n f yake ndo utajua bei hadi dar hiyo 700 ni bei ya japanni
 
Back
Top Bottom