Mm najua kubadilisha IMEI number ndio kinyume na sheria. Sio kuflash simu. Kma ni kiflash official firmware basi hii nchi tutakua na sheria ya kipumbavu haijawahi tokea duniani
Mm ndio nnavyojua hvi. Hata yule fundi aliyepelekwa mahakamani ni kwasababu alifungulia blocked phones kwa kubadili imei number
Nilitaka kushangaa, ina maana Samsung repair centres na Carlcare hapa bongo wanavunja sheria. Maana wanaflash simu kila siku
Sent from my Pixel 3a using JamiiForums mobile app
Ukifanikiwa bro nisaidie namie,, afu mbona km hz Note 9 hazna quality za video tofaut na Samsung nilizozizowea mkuu,, naomba tushare experience ya hz note,, cjaikubal sn
Ukifanikiwa bro nisaidie namie,, afu mbona km hz Note 9 hazna quality za video tofaut na Samsung nilizozizowea mkuu,, naomba tushare experience ya hz note,, cjaikubal sn
Yaani uhakika wa flagship ambayo sio refurbished ni kununua wakati ndio imeingia sokoni. Wabongo wengi sio wakwelk. Mtu anakuuzia refurbished za china alaf anakwambia ni mpya