Nakumbuka zamani ulikua unatuma meseji yenye neno puk na namba zako za sim kwenda namba fulani siikumbuki vizuri (Tangu voda waanze wizi nliwahama) Unaweza kuongea na customer care yao (ni wabovu sana kwenye msaada) unaeza ukawa na Mungu mtanashati ukasaidikaWapenda msaada kwenye tuta line yangu ya voda imejiblock, kuna mtu alikuwa achezea cm yangu sijui kaifanyaje kablock sim card inaniambia niweke PUK na mm wala sikumbuki kile kidude chaline kiko mtaa gani mbaya zaidi cm card nilikata so vile vinamba vya nyuma haviko mwenye kuweza kunisaidi plz plz msaada siwezi toka kwenda voda niko mwenyewe job na ni simu ambayo inatumika sana kwa kazi zangu za kila siku.
Natanguliza shukrani zangu kwenu plz nisaidieni
piga customer care (100) huwa kuna option ya kupata oukHiyo ya kutuma kwenda namba 123 na kupiga namba 15366 zote hazifanyi kazi kwa Sikh hizi.
Kwa anayejua jinsi ya kupata PUK aje hapa asaidie.
Wanataka uingize zile namba 19 zilizo nyuma ya laini,pia zinapatikana kwenye kadi ya laini,kwa bahati mbaya sina vyote hivyo viwili.piga customer care (100) huwa kuna option ya kupata ouk
Kiplastiki nilishapoteza na laini nayo sina,nahitaji PUK kwa ajili ya kufungua password kwenye simu yangu ya zamani niliyokuwa nimeiweka kabatini.Chukua kile ki plastick ulichobanduapo laini kina pin 1 na 2 ila zote ni 0000 mbele kuna P.U.K tarakimu kadhaa ya kwanza na ya pili zinatofautiana kama huna hicho azima simu yenye voda uwapigie namba mia usikilize maelekezo ili wakutumie P.U.K
Tumia voda line ya mwingine upige customer care.Kiplastiki nilishapoteza na laini nayo sina,nahitaji PUK kwa ajili ya kufungua password kwenye simu yangu ya zamani niliyokuwa nimeiweka kabatini.
Hamna app yoyote ya android unayoingiza namba yoyote ya un-inserted simcard halafu inakuletea info za sim card?
Wanataka niingize ICC-ID,hizo mimi sina kwa sababu sina laini na kadi.Tumia voda line ya mwingine upige customer care.
Wanataka niingize ICC-ID,hizo mimi sina kwa sababu sina laini na kadi.
Nataka njia mbadala ambayo siyo ya kuwapigia.
Nenda vodashop
Achilia mbali vodashop,hakuna android app yoyote ile ambayo ukiandika jina la namba ya simu yoyote ile inakuletea information za simcard?Nenda ukarenew line yako au nenda voda shop watakusaidia..
Achilia mbali vodashop,hakuna android app yoyote ile ambayo ukiandika jina la namba ya simu yoyote ile inakuletea information za simcard?
Nimekusoma,mimi sitaki iniletee PUK,nataka iniletee zile namba nyinginyingi zinazokaa nyuma ya laini.Puk ziko kwenye system za mtandao unaotumia,uwezi kuzipata sehemu yoyote zaidi ya Vodacom.
Wewe usitusumbue akili hapa...kama hutaki kwenda voda shop au kuwapigia usitujarbu hapa.Achilia mbali vodashop,hakuna android app yoyote ile ambayo ukiandika jina la namba ya simu yoyote ile inakuletea information za simcard?
Niko serious,siko kwa ajili ya kumjaribu mtu,nipo kwa ajili ya ku-gain.Nijaribu watu ili iweje?Wewe usitusumbue akili hapa...kama hutaki kwenda voda shop au kuwapigia usitujarbu hapa.