E EAGLE BOYZ Member Joined Jun 6, 2014 Posts 11 Reaction score 5 Feb 2, 2015 #1 Wadau naomben msaada wenu wa jinsi ya ku unlock nokia obama kwa kuwa security code zake nimezisahau na ninaamin humu kuna magwiji watakaoweza kunisaidia common unlock code kwa simu za namna hii. NAWASILISHA
Wadau naomben msaada wenu wa jinsi ya ku unlock nokia obama kwa kuwa security code zake nimezisahau na ninaamin humu kuna magwiji watakaoweza kunisaidia common unlock code kwa simu za namna hii. NAWASILISHA
L lolowapi JF-Expert Member Joined Aug 3, 2014 Posts 1,135 Reaction score 490 Feb 2, 2015 #2 Toa line,ivunje kanunue nyengine.
kijumbamshale JF-Expert Member Joined Apr 27, 2011 Posts 267 Reaction score 88 Feb 2, 2015 #3 Teh!!! Kuna jamaa yangu anatoa hiyo huduma kwa 20000 tu