Msaada wa ku unlock iphone 4

ERIK

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2013
Posts
623
Reaction score
315
Samahan wadau wangu, naomba msaada kwa anayejua jinsi ya ku unlock iphone 4 iweze kutumua line za hapa tanzania. Asanteni saana
 
Je, unataka kufungua iPhone yako 4 kutoka lock carrier? Katika ambayo mtandao iPhone 4 yako SI imefungwa kwa? Ambayo nchi? Kama ni hivyo, kutumia Remote kufungua njia ya kufungua hiyo. Unaweza kupata kutoka kwa mchuuzi yeyote online kama
Unlock-Zone.com kwa kufungua hiyo.
 


Kama network ni Tmobile UK imekula kwake hata humu nimekosa awafungui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…