Msaada wa ku-unlock icloud kwenye iphone 4s

Msaada wa ku-unlock icloud kwenye iphone 4s

ham d ibrahim

Member
Joined
Oct 1, 2016
Posts
29
Reaction score
4
Jamani naombeni msaada wa kurekebisha au kutengeneza au hata ushauri wa kufanya katika simu yangu. Tatizo kubwa ni ina lock ya icloud.

Nawasilisha.
 
Sasa kama ni simu yako hiyo icloud si uifungue au umekwama wapi!?
 
Hiyo issue uwaga ngumu sana ila kuna jamaa niliona tangazo Lao Instagram kuwa wanazitoa
c473a625dc77d888923c66ea435ee91e.jpg
 
Back
Top Bottom