Msaada wa ku trade iphone x

Msaada wa ku trade iphone x

nakubaliana na wewe kwa asilimia zote
Unajua kinachofanyika kule china ni nini?
Jamaa wanachukua iphones ambazo ni reject (zilizochoka) wanazivisha housing mpya kabisa (refurbshed) zinaingizwa sokoni kama used ila wafanyabiashara wengine watakuambia ukweli kuwa ni used lakini wale wenye box zake watakuambia ni brand new na washajua kabisa wabongo wanashobokea iphone kwahyo biashara kwao inawawia rahisi
 
Hiyo haikuhusu kama hulipii kwa mfumo huo niliousema. Umeelewa Ila nahisi hutaki jibu nililolitoa, lakini ndio jibu la swala lako.
sijakubishia wala kukataa ulichoniambia mkuuu,nimeuliza tu ili kuona kamamimi yawezekana nimeelewa tofauti.
 
qumamae kisa kasikia ni iphonex,si atoe sasa hiyo lock ndio auze kam anayo marinda pumbaavu.
sijui kwann mkuu,wanahisi watumiaji wa hizi simu wote wana uwezo wakati wengine simu za OFISI wala sio zao.
 
Unajua kinachofanyika kule china ni nini?
Jamaa wanachukua iphones ambazo ni reject (zilizochoka) wanazivisha housing mpya kabisa (refurbshed) zinaingizwa sokoni kama used ila wafanyabiashara wengine watakuambia ukweli kuwa ni used lakini wale wenye box zake watakuambia ni brand new na washajua kabisa wabongo wanashobokea iphone kwahyo biashara kwao inawawia rahisi
uko sahihi,nilikuaga siamini mpaka siku nilipoingia k.koo nakukuta chimbo linalouza Mabox ya simu aina zote Mapyaaa na seals zake na kila kitu chake ni wewe kwenda na simu tu...Nilitoa macho sikuamini.
 
nimetafuta nikawapa kazi mafundi wameshndwa wote wanaendeshawe na TAMAA wabongo wakishajua unataka kiooo wanaropoka tu bei..

Kuna mtu kancheki muda si mrefu kanambia anipe kiooo ila anataka 1.5M unaweza imagine mkuu.

Zenye iCloud zinapatikana mkuu mimi last yr nilipigwa iPhone X yangu nilijaribu kui track nikashindwa nikaiblock tu
 
bei zao wenye nazo wameshajua ni muhimu,wakikutajia unaweza hisi umetajiwa bei na APPLE DEALER
 
Unajua kinachofanyika kule china ni nini?
Jamaa wanachukua iphones ambazo ni reject (zilizochoka) wanazivisha housing mpya kabisa (refurbshed) zinaingizwa sokoni kama used ila wafanyabiashara wengine watakuambia ukweli kuwa ni used lakini wale wenye box zake watakuambia ni brand new na washajua kabisa wabongo wanashobokea iphone kwahyo biashara kwao inawawia rahisi
Mkuu upo sahihi kabisa na hivi viduka vingi vya online especially IG wanauza simu ambazo ni refurbished.
 
Wacheck jamaa wanaitwa inauzwa insta naona wako vizuri au pia unaweza pata msaada wana deal sana na brand za Apple.
 
Back
Top Bottom