sulfametopyrazine
Senior Member
- Apr 3, 2013
- 134
- 26
nilikuwa na kasimu kangu nmekupata juzi tu. sasa cha kushangaza kuna wale wahuni wa bodaboda wakanikwapua. simu yenywe ni iphone7 plus, nmejaribu kutumia find my iphone bila mafanikio maana sio accurate kiivo kwa TZ yetu hii na bado sijaiweka kwny lost mode. Sasa km kuna mtu mwnye utaalamu wa kutumia IMEI ili kujua vitu km location au line inayotumika najua pale oysterbay wanafanya ila mlolongo wake siuwezi ni mrefu kwakweli. If anybody can help I'll appreciate that