john agrey
JF-Expert Member
- Jan 24, 2015
- 1,280
- 2,080
Anayejua jinsi ya kusave nikishamaliza kufanya selection za vyuo anisaidie nashindwa hapo kusubmitt ili iwe nimeshatuma maombi
Nilipita nikaona hakuna sehemu ya ku submitt selection zako. Ukishamaliza kujaza course zako vizuri kabisa na kwa usahihi, upande wa kushoto, chini kuna option ya kuprint selection zako for future reference! Una log off, na hapo unakuwa umemaliza!

asee ilo tatizo lipo kweliMbn uki print wanasema page not found msaad pleaz
Hahahaaa unaprintia tecno y3Mbn uki print wanasema page not found msaad pleaz

Kwenye Second Round Nahisi Hawana Option Ya Kuprint Maana Wengi Inakataa Just Jaza machaguo yako Mpk Utakapoambiwa Congratulations Hapo Utakuwa Umemaliza Log Out Sbr Wafanye kazi YaoMbona kwenye pc mambo n yaleyale unaambiwa page not found
Kulog off ndo nn mkuu!!!kwa ufupi unalog out coz watoto wa digitally anaweza kuuliza mbona sehemu ya kulog off haioni!Nilipita nikaona hakuna sehemu ya ku submitt selection zako. Ukishamaliza kujaza course zako vizuri kabisa na kwa usahihi, upande wa kushoto, chini kuna option ya kuprint selection zako for future reference! Una log off, na hapo unakuwa umemaliza!
Mbna sijaona sehemu wanayokwambi congratulations jamanKwenye Second Round Nahisi Hawana Option Ya Kuprint Maana Wengi Inakataa Just Jaza machaguo yako Mpk Utakapoambiwa Congratulations Hapo Utakuwa Umemaliza Log Out Sbr Wafanye kazi Yao
Bofya kwenye make 2nd round selectionMbna sijaona sehemu wanayokwambi congratulations jaman
Ongeza koz ya nne utapokea CongratulationsView attachment 404723 io apo em chekii
Jamaa izo course zipo tano yan zimetimia au nitume full screenshotOngeza koz ya nne utapokea Congratulations