habar wadau,
Naomba msaada kwa mwenye utaalamu wa ku install window kwenye OLPC laptop, default window yake ni Ubuntu ila haina cd room na Bios yake bado sija isoma
Nadhani unaweza ku-run Virtual machine kwa ubuntu, basi download MS onto usb drive, then install as virtual machine instance to emulate x86. pia inategemea nguvu ya machine yako.
mkuu nimejaribu kukiangalia online nimeona hv.
hio ni program inaitwa one laptop per child(olpc) vilitengenezwa kila mtoto awe na laptop. vina harddisk 4gb na ram256mb kaka hapa hata ukieka window ni kichekesho. kuna jamaa wamefanikiwa kuinstall windows xp lakini feedback kinakua slow. mi nina wazo jengine why usiwaambie wataalam wa linux humu wakusaidie kuiemulate android ya zamani kama froyo(narecomend) au gingerbread utapata apps nyingi na atleast zitakua fasta kuliko windows
hio ni program inaitwa one laptop per child(olpc) vilitengenezwa kila mtoto awe na laptop. vina harddisk 4gb na ram256mb kaka hapa hata ukieka window ni kichekesho.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.