Superbrand
JF-Expert Member
- Apr 6, 2013
- 509
- 158
Habari, naomba msaada jinsi ya kuinstall watsapp kwenye iPod ya apple
Habari, naomba msaada jinsi ya kuinstall watsapp kwenye iPod ya apple
Maelezo yako hayatoshelezi.
Hiyo ipod ni 5th generation au ?
Nenda app store , Search, type in whatsApp then Install.
Wananiambia inapatikana India kwa Tz hamna ila sina uhakika
Maelezo yako hayatoshelezi.
Hiyo ipod ni 5th generation au ?
chukua computer yako then install itune kisha ifungue ingia store ya itune udownload whatsapp, kisha tafuta program inaitwa iphone configaration utility kwenye laptop yako, kisha conect ipod yako kwenye computer then angalia kama hiyo ipod imesoma kwenye hiyo program the clik sehemu imeandikwa add ili uweze weka hiyo program kwenye ipod yako then istall hiyo program yako kwa kutumia hiyo iphone utility. Ukikwama sehemu niambiehabari, naomba msaada jinsi ya kuinstall watsapp kwenye ipod ya apple
chukua computer yako then install itune kisha ifungue ingia store ya itune udownload whatsapp, kisha tafuta program inaitwa iphone configaration utility kwenye laptop yako, kisha conect ipod yako kwenye computer then angalia kama hiyo ipod imesoma kwenye hiyo program the clik sehemu imeandikwa add ili uweze weka hiyo program kwenye ipod yako then istall hiyo program yako kwa kutumia hiyo iphone utility. Ukikwama sehemu niambie
Mkuu hata sijui ni generation gani?je nawezaje kuijua
You are better than this mkuu....
Unapotaka kusaidiwa hebu onyesha kweli unahitaji msaada kwa kutoa details zote kwa kadri ya uwezo wako wooooote
ninayo hiyo kitu nimechemka kuunga kwa wi-fi nisikilizia muziki tu
Mimi ililataa lakini imekubali nakula hadi Jf hata nikikosa watsapp JF hadi raha
Pole kwa kubeba mizigo. Ila sasa daladala unagombaniaje. Au we maisha bora
Pole kwa kubeba mizigo. Ila sasa daladala unagombaniaje. Au we maisha bora