umeshindwa vipi mkuu? Kwanza hao jamaa nadhani hiyo busness yao ni ya kulipia. na ipo USA tU . Na nadhani pia wana cusutomer service .May be best option wapigie simu au chat nao online wakueleze nn cha kufanya Hiyo link niyo kueweka ukisoma comment za wadau wote na kuzifnyia kazi utavuka. Kuna comment moja mwishoni mwshoni inasema Temp folder inakuwa hiden so inabid uitoe kwenye hidden. google ujue jinsi ya show hidden folder. Kama vipi futa temp folder na recreate upya