A Agera 1 JF-Expert Member Joined Jun 5, 2014 Posts 4,144 Reaction score 4,321 Dec 10, 2016 #1 habari za humu...naombeni msaada kwa mwwnye ufahamu wa kudowngrade window phone...some days ago nilidownload window device recovery tool nikafata taratibu zote ila mwishoni inaandika operation.ended with failure ...msaada tafadhali
habari za humu...naombeni msaada kwa mwwnye ufahamu wa kudowngrade window phone...some days ago nilidownload window device recovery tool nikafata taratibu zote ila mwishoni inaandika operation.ended with failure ...msaada tafadhali
MT255 JF-Expert Member Joined May 3, 2012 Posts 3,729 Reaction score 4,999 Dec 10, 2016 #2 Unatumia simu gani?
A Agera 1 JF-Expert Member Joined Jun 5, 2014 Posts 4,144 Reaction score 4,321 Feb 6, 2017 Thread starter #3 lumia 620
Kang JF-Expert Member Joined Jun 24, 2008 Posts 5,694 Reaction score 2,588 Feb 6, 2017 #4 Inabidi uinstall hii kitu https://support.microsoft.com/en-us/help/12379/windows-10-mobile-device-recovery-tool-faq (Nadhani ndio uliyoinstall) Kisha hakikisha una bundle ya kutosha na mtandao wenye spidi itadownload operating system nzima ambayo ni GB au zaidi. Jaribu kutochomeka simu kisha click My Device not found kisha fuata maelekezo. Jaribu kuuinstall hiyo software futa image iliyokuwa dowloaded kisha insatll upya. Jaribu machine nyingine ikikataa.
Inabidi uinstall hii kitu https://support.microsoft.com/en-us/help/12379/windows-10-mobile-device-recovery-tool-faq (Nadhani ndio uliyoinstall) Kisha hakikisha una bundle ya kutosha na mtandao wenye spidi itadownload operating system nzima ambayo ni GB au zaidi. Jaribu kutochomeka simu kisha click My Device not found kisha fuata maelekezo. Jaribu kuuinstall hiyo software futa image iliyokuwa dowloaded kisha insatll upya. Jaribu machine nyingine ikikataa.