Halafu no.3 nzuri sana,kama utapata chuo kizuri.
Inatolewa pale udom je hapafai auHalafu no.3 nzuri sana,kama utapata chuo kizuri.
Inatolewa pale udom je hapafai au
Kwann udom pasifae watu wazima kusoma pale?Mkuu udom hapafai kama wewe ni mtu mzima...kama kijana furesh tuu
Kwann udom pasifae watu wazima kusoma pale?
Wadau mm nnahitaji ku aply kozi ya masters pale ud na udom lkn nnapata changamoto kati ya hizi kozi nitakazo zitaja ipi ina advantage ya kupata nafasi zaid pindi nikihitimu 1.masters of edu management ana admistration (MEMA) 2.masters of geography and environmental managements.3.Masters in Natural resource management 4.climate change .nnaimba msaada ipi inaweza kuwa na scope pana zaidi karibuni
Ina wide scope nduguPiga masters of science in geographical information systems
Ni mawazo yangu tuu mkuu...mana nimesoma pale kwa kipindi flani,karibu ya wanafunzi wote wanakaa hostel za chuo,
Ila maisha yako fresh tuu...ingawaje kwa mikoa kama dar kwa mtu mzima unakua free, na unapata chance kubwa ya kukutana na watu wa makamo
Kama nimebugi mahali wajuzi watakuja nikosoa...
Mkuu hii sababu yako ni very weak. Mm ni muhitimu pale. Its all depends on you.. muda na flecibility yako.
Halaf kwa level hiyo si lazima uishi hostel.. na watu wazima wapo wanaosoma masters.
Safi sanaHivi hamna masters of wealth accumulation and money making? Nenda hiyo mkuu
Hivi hamna masters of wealth accumulation and money making? Nenda hiyo mkuu
Hivi hamna masters of wealth accumulation and money making? Nenda hiyo mkuu
Nakumbuka nilikatazwa nisitumie muwa kama mkongojo wakati nikiwa kwenye safari ndefu...tehHivi hamna masters of wealth accumulation and money making? Nenda hiyo mkuu