fasiliteta
JF-Expert Member
- Jul 2, 2014
- 2,598
- 4,472
Kijana acha kutisha watu na hivyo vithermodynamicKozi nzuri sana!! Komaa sana niko nayo Arusha Tech. College!! Tunajiita AUTOMECH automotive, autoelectric, mechanical!! TUmekabidhiwa chuo maana ndo coz ngumu ever, na msuli mrefu mpaka entropy zinapanda, hatuelewi ni makauzu dagaa hafai!! Watoto wa Baba tunajiita!! Automotivists na Mechanical takers wanahitajika kuchukua Aircraft Maintainance... Na nchi yetu inaelekea industrial initialization!! Kozi moja na heshima zake, lazima uwe kauzu na thermo, machne design, mechatronic, power production!! PCM uwe vizuri!! Kama huwezi hapo utapotea.
Ivi ni laana au kitu gani mtu anaomba ushauri wewe unamtishia, Cha muhimu hapo ni kumuelekeza namna gani ataweza kumudu hiyo kozi,pia ni manufaa gani atayapata endapo atafua vizuri principle utakazo muelekeza, lakini wewe unatoa vitisho as if wewe kabla ujaanza kusoma hayo mambo uliyajua sana, mimi binafsi naona sio vema watanzania tuwe na moyo wa kushikana mikono sababu umoja wetu ndio ushindi wetu, mechanical ni kozi nzuri sana hasa kwa ulimwengu wa kileo ukipata na msingi mzuri wa electronics unaweza fanya mambo makubwa mbeleni.Kozi nzuri sana!! Komaa sana niko nayo Arusha Tech. College!! Tunajiita AUTOMECH automotive, autoelectric, mechanical!! TUmekabidhiwa chuo maana ndo coz ngumu ever, na msuli mrefu mpaka entropy zinapanda, hatuelewi ni makauzu dagaa hafai!! Watoto wa Baba tunajiita!! Automotivists na Mechanical takers wanahitajika kuchukua Aircraft Maintainance... Na nchi yetu inaelekea industrial initialization!! Kozi moja na heshima zake, lazima uwe kauzu na thermo, machne design, mechatronic, power production!! PCM uwe vizuri!! Kama huwezi hapo utapotea.
Msingi wa ELECTRONICS!!!!! Asante. [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]Ivi ni laana au kitu gani mtu anaomba ushauri wewe unamtishia, Cha muhimu hapo ni kumuelekeza namna gani ataweza kumudu hiyo kozi,pia ni manufaa gani atayapata endapo atafua vizuri principle utakazo muelekeza, lakini wewe unatoa vitisho as if wewe kabla ujaanza kusoma hayo mambo uliyajua sana, mimi binafsi naona sio vema watanzania tuwe na moyo wa kushikana mikono sababu umoja wetu ndio ushindi wetu, mechanical ni kozi nzuri sana hasa kwa ulimwengu wa kileo ukipata na msingi mzuri wa electronics unaweza fanya mambo makubwa mbeleni.
Ndio, msingi wa electronics utamsaidia sana sababu dunia ya leo kila kitu ni automation sasa kama asipo fahamu electronics itamuwia vigumu kuendana na dunia ya leoMsingi wa ELECTRONICS!!!!! Asante. [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]
Sent from my TECNO-L5 using JamiiForums mobile app
Kaka Mambo ni magumu kiasi hicho?Kozi nzuri sana!! Komaa sana niko nayo Arusha Tech. College!! Tunajiita AUTOMECH automotive, autoelectric, mechanical!! TUmekabidhiwa chuo maana ndo coz ngumu ever, na msuli mrefu mpaka entropy zinapanda, hatuelewi ni makauzu dagaa hafai!! Watoto wa Baba tunajiita!! Automotivists na Mechanical takers wanahitajika kuchukua Aircraft Maintainance... Na nchi yetu inaelekea industrial initialization!! Kozi moja na heshima zake, lazima uwe kauzu na thermo, machne design, mechatronic, power production!! PCM uwe vizuri!! Kama huwezi hapo utapotea.
Ahsante mkuuIvi ni laana au kitu gani mtu anaomba ushauri wewe unamtishia, Cha muhimu hapo ni kumuelekeza namna gani ataweza kumudu hiyo kozi,pia ni manufaa gani atayapata endapo atafua vizuri principle utakazo muelekeza, lakini wewe unatoa vitisho as if wewe kabla ujaanza kusoma hayo mambo uliyajua sana, mimi binafsi naona sio vema watanzania tuwe na moyo wa kushikana mikono sababu umoja wetu ndio ushindi wetu, mechanical ni kozi nzuri sana hasa kwa ulimwengu wa kileo ukipata na msingi mzuri wa electronics unaweza fanya mambo makubwa mbeleni.
Electronics najua ila siko deep.Msingi wa ELECTRONICS!!!!! Asante. [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]
Sent from my TECNO-L5 using JamiiForums mobile app