hahahahahaha noumaah sanaTaratibu mkuu izo ma thermodynamic na ma kinematics?
Ktk engineering ndo kozi niliyo kuwa na passion Nayo pekee. Sina shida na pesa nyingii za madafu zinatosha mkuu. Nina mtazamo wa kujiajiri zaidiWe umechagua course huna idea nayo hata moja? Em acha utani.
Mechanical Engineering ni bonge la course ukijipanga vizuri, kuna mambo mengi sana na unaweza kuchagua uspecialize fields nyingi tu, sina idea diploma wanafundisha nini ila ukikomaa nayo hadi degree na ukapiga kitabu kwelikweli unaweza fika mbali, ukifanya mchezo ofcoz utafulia, hizi courses wanaenda wenye passion sio wanaofikiria hela wakati wote, zinahitaji msuli mrefu sana.
Ulichaguliwa niniTaratibu mkuu izo ma thermodynamic na ma kinematics?
Kwani majina wametoa wewe uliomba lini
Pole, endelea kusubiri, hii course ni nzuri.Naisi kuna error.
Mchana SAA nane Jana ulikuwa
View attachment 384484
Tazama muda.
Baadae nakuta hivi. Hii imekaaje
View attachment 384486