Msaada wa kozi hizi

dragon ball

Member
Joined
Jul 17, 2015
Posts
57
Reaction score
4
Hivi kuna ulazima kusoma IT au Computer Science lazima uwe umesoma PCM au PCB? Maana nashindwa kuelewa wanaposema uwe lazima umesoma Physics. Naombeni msaada kwa mliosoma kozi hizi,maana TCU kuna maamuzi ya vitu vingine naona kama sio makini...
 
Sasa kwa nini kwenye chuo kama UDSM au UDOM wanalazimisha kwenye physics uwe una pass advance na credit kwenye O level?

computer science sio kubonyabonya tu keyboard, phy muhimu ili hata ukuambiwa hii ni IC board uwe unajua IC ni nini, sio mtu unaambiwa hii ni transistor ndio unaanza kuukiza nini kazi ya transistor wakati hiyo ulitakiwa kuijua tangu o-level
 
Sasa mbona kwenye vyuo vya wenzetu wanahitaji Mathematics? Na kingine na kwa nini kwenye kuomba kusoma diploma hawahitaji physics kama ilivyo kwenye Engineering? Ninavyoelewa mimi hata kwenye Mathematics unasoma vitu vinavyohusiana na physics lakini haileti maana kwamba umesoma physics yote...
 
na sio kila kitu kwenye phy kinahitajika kwenye kusomea computer, ni baadhi tu ya concepts, ni ukweli ulio wazi kuwa kama mtu hakusoma maths na phy huyo computer science au engineering kwake itaiona ni ngumu sana.
 
UDOM kwa kozi ya computer science lazima uwe umesoma physics..but kwa kozi kama Information systema,BIS Hata ukiwa umesoma EGM unasoma.
 
UDOM kwa kozi ya computer science lazima uwe umesoma physics..but kwa kozi kama Information systema,BIS Hata ukiwa umesoma EGM unasoma.

Kuna kitu wananichanganya mfano kama UDSM kwenye diploma wao wanataka Mathematics lazima uwe umefaulu ndiyo unasoma kozi ya Computer Science na degree unaendelea kama kawaida kwa kozi hiyo.
Sasa najiuliza inakuaje kwa diploma hawahitaji Physics kama unavyoingia kozi ya engineering au Biology kwenye medicine? Mimi hapo naona kama kuna pumba imeweka...
 
Udsm diploma imeanza lini mkuu
 
Computer science haina uhusiano mkubwa na physics wala mathematics

Ndani ya computer science unasoma
Computer Programing
Database management
Networking
Na vitu vingine ambavyo sio physics

Ila mathematics inahitajika walau knowledge ndogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…