Msaada wa kodi ya TRA kwa mtaji wa 3m

D2050

JF-Expert Member
Nov 28, 2013
1,906
1,070
habar wana jf
Naomba kujuzwa juu ya taratibu za ulipaji kodi ya mapato.maana kuna ndugu yangu mtaji wake ni 3m anaambiwa alipie mapato 200000 kwa mwaka je halali kwa sheria ya kodi iliyo pitishwa na bunge la bajeti 2014/2015?

Naomba msaada wenu ili nijuwe kama nihalali kumfungia biashara yake
 
Kodi haitegemei na kiasi cha mtaji bali ni kiasi cha faida/profit.
 
Kodi haitegemei na kiasi cha mtaji bali ni kiasi cha faida/profit.

Haupo Sahihi!
biashara ndogondogo zilizosajiliwa kama za kinyozi, duka la mangi labda, mgahawa, grocery, e.t.c hawakokotoi faida then tax, Bali kunakua na fixed tax amount
 
Haupo Sahihi!
biashara ndogondogo zilizosajiliwa kama za kinyozi, duka la mangi labda, mgahawa, grocery, e.t.c hawakokotoi faida then tax, Bali kunakua na fixed tax amount

Bado haina uhusiano na mtaji.
Kama biashara yako ina turnover chini ya millioni ishirini kwa mwaka ndo unalipa kodi kwa kuzingatia turnover yako so kama biashara ina turnover kati ya 4 mil na 7.5 mil unalipa 200,000 plus 4% ya amount iliyozidi 4 mil. So kama turnover ni 6 mil kodi ni (200,000 + 2,000,000 x 0.04) = 280,000/=

Maelezo zaidi tovuti ya TRA Tanzania Revenue Authority - Income tax return guide for individuals
 
Kodi haitegemei na kiasi cha mtaji bali ni kiasi cha faida/profit.

Hiyo faida inatakiwa tufanye mahesabu na mtu wa tra kwanza ili wajuwe faida ninayo pata.sasa inakuwaje wanafunga mlango kwanza kabla ya kufanya hizo hesab za faida ninayo pata?
 
Back
Top Bottom